Nenda kwa yaliyomo

Robert Andrich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Andrich (alizaliwa 22 Septemba 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Halloran geht - Andrich kommt im Sommer". kicker (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Andrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.