Nenda kwa yaliyomo

Rkia El Moukim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
El Moukim kwenye mbio za London Marathon 2015
El Moukim kwenye mbio za London Marathon 2015

Rkia El Moukim (amezaliwa 22 Februari 1988 huko Guelmim) ni mwanariadha wa nchini Moroko.[1][2]

Mnamo 2014, El Moukim alishinda Mashindano ya nusu mbio za masafa marefu za Des Moines[3] na vile vile mbio za Paris-Versailles, akiweka rekodi ya dakika 52 25.[4] Alimaliza katika nafasi ya sita katika mbio za masafa marefu za mjini New York za mwaka 2014 na wa kumi katika mbio za masafa marefu za mjini London za mwaka 2015.

El Moukim alifuzu kuiwakilisha Moroko katika Olimpiki za Majira ya joto huko Tokyo za mwaka 2020, akishindana katika hafla ya Mbio ndefu za Wanawake.[2]

  1. "Rkia EL MOUKIM". www.cnom.org.ma (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  2. 2.0 2.1 "Athletics EL MOUKIM Rkia - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  3. "Semi-marathon : record et victoire pour Rkia El Moukim". Bladi.net (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  4. MARATHONS.FR (2021-10-09). "Paris-Versailles : Mule Wasihun Lakewu et Rkia El Moukim victorieux". MARATHONS.FR (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rkia El Moukim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.