Nenda kwa yaliyomo

Riziki Shahari Mngwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Riziki Shahari Mngwali ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017