Riko Fujita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Riko Fujita (alizaliwa 17 Mei 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya AC Nagano Parceiro Ladies inayoshiriki ligi ya WE League huko Japani. Riko alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya WE League mnamo 12 Septemba 2021.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riko Fujita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.