Rikke Madsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Madsen akiwa na North Carolina Courage mnamo 2023

Rikke Marie Madsen (alizaliwa 9 Agosti 1997)ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Denmark.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Everton Sign Madsen". www.evertonfc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. "Courage Sign Danish Forward Rikke Madsen". NC Courage (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rikke Madsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.