Nenda kwa yaliyomo

Riem Hussein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Riem Hussein mnamo 2020

Dr Riem Hussein (alizaliwa 26 Julai 1980) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa kimataifa wa nchini Ujerumani. Amekuwa mwamuzi wa kimataifa tangu mwaka 2009. [1] [2]

Kazi ya uamuzi

[hariri | hariri chanzo]

Tangu mwaka 2015, Riem amekuwa refa katika ligi daraja la tatu ya soka la wanaume nchini Ujerumani. [3]

Aliteuliwa kuwa mwamuzi kwenye Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake 2019 nchini Ufaransa. [4] [5] Pia aliteuliwa kuwa mwamuzi wa mashindano ya UEFA Women's Euro 2022 nchini Uingereza. [6]

Alichezesha Fainali ya Ligi ya mabingwa UEFA ya wanawake 2021 kati ya Chelsea na Barcelona. [7]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Riem ana asili ya Kipalestina. Mnamo 2009, alipata PhD kutoka Chuo Kikuu cha Ufundi cha Braunschweig . [8]

  1. "Riem Hussein » Matches as referee". worldfootball.net. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Brand ist neuer Bundesliga-Schiedsrichter :: DFB - Deutscher Fußball-Bund e.V." dfb.de. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Riem Hussein » Matches as referee". worldfootball.net. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)"Riem Hussein » Matches as referee". worldfootball.net. Retrieved 30 June 2019.
  4. FIFA.com. "FIFA Frauen-WM 2019 - Nachrichten - Aufgebot der Spieloffiziellen für die FIFA Frauen-WM 2019". FIFA.com. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Bössler, Michael (3 Desemba 2018). "FIFA Women's World Cup France 2019 – List of Match Officials" (PDF). Iliwekwa mnamo 30 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. UEFA.com. "Who is the referee? Which officials are in charge of the Women's EURO 2022 games". UEFA.com. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Referee team appointed for UEFA Women's Champions League final in Gothenburg", Union of European Football Associations, 4 May 2021. 
  8. "Katalog der Deutschen Nationalbibliothek". Deutsche Nationalbibliothek.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riem Hussein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.