Ricardo Gomes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ricardo Jorge Pires Gomes (alizaliwa 18 Desemba 1991) ni mchezaji wa soka wa Timu ya taifa ya Cape Verde ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Partizan katika SuperLiga ya Serbia na timu ya taifa ya Cape Verde.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ricardo Gomes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.