Ricardo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ricardo Jorge Ferreira Pinto da Silva (anayejulikana kama Ricardo; alizaliwa 19 Agosti 1980) ni mchezaji wa soka anayechezea Timu ya taifa ya Cape Verde.

Ricardo da Silva pia anacheza katika klabu ya F.C. Famalicão kama beki au kiungo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ricardo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.