Nenda kwa yaliyomo

Rhamnus prinoides

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rhamnus prinoides
Rhamnus prinoides
Rhamnus prinoides
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rhamnaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkunazi)
Jenasi: Rhamnus
Spishi: R. prinoides
L'Hér.

Rhamnus prinoides, buckthorn yenye majani yanayong'aa, ni kichaka au mti mdogo katika familia Rhamnaceae uliopo Afrika.

Huko Ethiopia unajulikana kama "gesho" ilielezewa kwa mara ya kwanza kisayansi na mtaalamu wa mimea wa Ufaransa Charles Louis L'Héritier de Brutelle mwaka wa 1789.[1]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rhamnus prinoides kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.