Return of Sabata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Return of Sabata
Kasha ya DVD ya Return of Sabata.
Kasha ya DVD ya Return of Sabata.
Imeongozwa na Gianfranco Parolini
Imetungwa na Renato Izzo
Gianfranco Parolini
Imetaarishwa na Alberto Grimaldi
Nyota Lee Van Cleef
Muziki na Marcello Giombini
Imesambazwa na MGM/UA
Muda wake Dk. 100
Imetolewa tar. 2 Septemba 1971
Nchi Italia
Lugha Kitaliano

Return of Sabata (kwa Kitaliano: È tornato Sabata ... hai chiuso un'altra volta, au kwa tafsri ya haraka-haraka waweza sema "Sabata amerudi ... kuja kumalizia muda uliobaki") ni filamu ya Spaghetti Western ya mwaka wa 1971. Filamu iliongozwa na Gianfranco Parolini. Hii ni filamu ya tatu kutoka katika mfululizo wa filamu za Sabata, inaonyesha kuwa Lee Van Cleef amerudi tena kwa jina lilelile la Sabata, ambalo alitumia katika toleo la kwanza la Sabata, lakini alipokelewa na Yul Brynner katika Sabata sehemu ya pili (Adiós, Sabata), kutokana na mgongano wa ratiba za waigizaji katika filamu.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Muhtasari wa filamu[hariri | hariri chanzo]

Lee Van Cleef amerudi tena kwa jina la Sabata, ambaye anaelekea zake katika mji mdogo wa Texas kwa lengo la kulipiza kisasi kwa wale wezi waiomgeuka, huku akiwa na wazo la kutaka kuziiba tena zile hela walizomwibia yeye hapo awali.

Washiriki[hariri | hariri chanzo]

  • Lee Van Cleef kacheza kama Sabata
  • Reiner Schöne kacheza kama Clyde
  • Giampiero Albertini kacheza kama Joe McIntock
  • Ignazio Spallat kacheza kama Bronco
  • Annabella Incontrera kacheza kama Maggie
  • Jacqueline Alexandre kacheza kama Jackie McIntock

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Return of Sabata kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.