Gianfranco Parolini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gianfranco Parolini (Roma, Italia, 20 Februari 1925 — Roma, 26 Aprili 2018) alikuwa mwongozaji wa filamu kutoka nchini Italia. Mara nyingi alitumia jina la Frank Kramer. Miongoni mwa filamu alizoongoza ni ile mifululizo ya filamu ya The Sabata Trilogy na filamu nyingine nyingi tu za Spaghetti Westerns.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gianfranco Parolini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.