Nenda kwa yaliyomo

Reebok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Reebok

Reebok ni kampuni iliyoanzishwa Uingereza na inayofanya kazi kama kampuni tanzu ya Adidas tangu mwaka 2005 ikiwa na makao makuu nchini Marekani.

Reebok inazalisha na kusambaza vifaa vya michezo ikiwa ni pamoja na nguo na viatu.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reebok kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.