Rana Abdelhamid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rana Abdelhamid

Rana Abdelhamid ( Kiarabu : رنا عبد الحميد; alizaliwa 6 Mei, 1993) [1] ni mgombeaji wa siasa na mwanaharakati wa nchini Marekani. Anaishi Queens, New York . Abdelhamid pia ni mwanzilishi wa Hijabis ya New York na mpango wa wanawake kujiwezesha.

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Abdelhamid ana asili ya Misri na alikulia New York. [2] [3] Ana kaka zake watatu. Alipokuwa mtoto, alisoma karate . [4] Abdelhamid alikua mwanasanaa wa karate ya shotokan. Ana mkanda mweusi katika karate ya Tai Chi na kama mwanafunzi aliwafunza wasichana wadogo karate ili kukabiliana na ghasia za ubaguzi wa ragi. [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. السطوحي (August 6, 2021). ترشيح رنا عبد الحميد.. هل يقلب تمثيل الحزب الديمقراطي التقليدي في نيويورك؟ (ar). Al Jazeera. Iliwekwa mnamo September 17, 2021.
  2. Rodulfo, Kristina. "Why Young Muslim American Women Are Fighting Back", January 13, 2016. (en) 
  3. Salam (2021-05-03). Young, Muslim and progressive: is another AOC-style upset brewing in New York? (en). The Guardian. Iliwekwa mnamo 2021-08-04.
  4. Template error: argument title is required. 
  5. Gebreyes, Rahel. "WISE Founder Teaches Muslim Women Self Defense To Protect Against Hate Crimes", March 14, 2016. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rana Abdelhamid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.