Ramy Sabry (mwimbaji)
Mandhari
Ramy Sabry ( pia huandikwa Rami Sabry ; alizaliwa 15 Machi, 1978) ni mwimbaji na mwigizaji wa nchini Misri. [1] [2]
Kazi na Maisha ya binafsi
[hariri | hariri chanzo]Baada ya kuhitimu kutoka chuo cha muziki nchini Misri, tayari alikuwa ameanza kazi yake ya muziki kwa kuwatungia waimbaji wachache mashuhuri. Video tatu zilipigwa, mbili kati yake ziliongozwa na Tarek Alarian na moja na Moussa Eissa. Baada ya albamu Iliyozinduliwa, Ramy Sabry aliendelea kushiriki katika matukio mengi ya muziki kama vile: tamasha za moja kwa moja (live concerts), prom za shule na sherehe za chuo kikuu. Hatimaye, Ramy alifanikiwa na sasa amekuwa mwimbaji maarufu nchini Misri.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Listen: four new nasheeds to celebrate Ramadan". The National. The National. 31 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ramy Sabry to perform in El Alamein City". Egypt Today. Egypt Today. 13 Julai 2018. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ramy Sabry (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |