Nenda kwa yaliyomo

Rajab Mwinyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rajab Mwinyi (alizaliwa Bujumbura, 10 Januari 1984) ni mchezaji wa kiungo wa Burundi ambaye anachezeya timu ya Simba S.C. huko Dar es Salaam. Pia ni mwanachama wa timu ya taifa ya soka ya Burundi[1].

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Rajab Mwinyi (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-02.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rajab Mwinyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.