Rachel Corsie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Corsie akichezea Uskoti mnamo 2014

Rachel Louise Corsie (alizaliwa 17 Agosti 1989)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uskoti ambae anacheza kama beki wa klabu ya Aston Villa W.F.C inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya FA (WSL) [3]. Rachel ni nahodha wa timu ya taifa ya Uskoti. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-27. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. "Rachel Corsie – UEFA.com". web.archive.org. 2017-05-20. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-20. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  4. "Rachel Corsie | Scotland | Scottish FA". www.scottishfa.co.uk. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachel Corsie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.