Aston Villa F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
wachezaji wa Aston Villa F.C kulia wakiongea na refa katika mchezo dhidi ya timu ya Watford

Aston Villa F.C. (majina ya utani: Villa, The Villa, The Villans na Lions) ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko huko Aston katikati ya mji wa Birmingham, Uingereza. Klabu ya soka ya Aston Villa iliundwa mwezi Machi 1874. Waanzilishi wanne wa Aston Villa walikuwa Jack Hughes, Frederick Matthews, Walter Price na William Scattergood.[1][2]

Uwanja wa mpira wa miguu wa klabu ya Aston Villa maarufu kama (villa park)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Matthews, Tony (2000). "Aston Villa", The Encyclopedia of Birmingham City Football Club 1875–2000. Cradley Heath: Britespot, 17. ISBN 978-0-9539288-0-4. 
  2. Woodhall, Dave (2007). The Aston Villa Miscellany. Vision Sports Publishing Ltd, 16. ISBN 978-1-905326-17-4. 
Sports icon.png Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Aston Villa F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.