Rachael Laws

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laws akiwa na Liverpool mnamo 2013

Rachael Laws (alizaliwa 5 Novemba 1990)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama kipa klabu ya Liverpool katika Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rachael Laws - Liverpool FC". www.liverpoolfc.com (kwa Kiingereza). 2024-03-22. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-31. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. "Liverpool FC Women complete Rachael Laws signing". Liverpool FC. 2020-07-07. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachael Laws kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.