Quest for Camelot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Quest for Camelot
Quest for Camelot- Poster.jpg
Imeongozwa na Frederik Du Chau
Imetayarishwa na Andre Clavel
Dalisa Cohen
Zahra Dowlatabadi
Nyota Jessalyn Gilsig
Cary Elwes
Jane Seymour
Pierce Brosnan
Gary Oldman
Eric Idle
Don Rickles
Bronson Pinchot
Jaleel White
Gabriel Byrne
John Gielgud
Muziki na Patrick Doyle
Imesambazwa na Warner Bros.
Imetolewa tar. Mei 15, 1998 (1998-05-15)
Ina muda wa dk. Dakika 86
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu Dola milioni 40
Mapato yote ya filamu $22,510,798 (USA)

Quest for Camelot (ilitolewa Uingereza kama The Magic Sword: Quest for Camelot) ni filamu ya katuni yenye maudhui ya kifantasia ambayo ilitoka mwaka wa 1998 huko nchini Marekani. Ndani yake zinakuja sauti za waigizaji kama vile Jessalyn Gilsig, Cary Elwes, Jane Seymour, Gary Oldman, Eric Idle, Don Rickles, Pierce Brosnan, Bronson Pinchot, Jaleel White, Gabriel Byrne, John Gielgud, na Frank Welker, kukiwa na sauti za kuimba kutoka kwa Céline Dion, Bryan White, Steve Perry, na Andrea Corr. Filamu hii inatoka na riwaya ya The King's Damosel ya Vera Chapman.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: