Jane Seymour

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jane Seymour
Jane Seymour Actress 1994.jpg
Jane Seymour akiwa katika red carpet ya Emmy Award kunako 11 Septemba 1994
Amezaliwa Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg
15 Februari 1951 (1951-02-15) (umri 68)
Uingereza Hayes, London, Uingereza
Ndoa Michael Attenborough (1971-1973)
Geoffrey Planer (1977-1978)
David Flynn (1981-1992)
James Keach (1993-)
[www.janeseymour.com Tovuti rasmi]

Jane Seymour OBE (jina la kuzaliwa ni Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg mnamo tar. 15 Februari 1951) ni wmigizaji wa filamu wa Kiingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu ya James Bond - Live and Let Die na pia kucheza katika mfululizo wa kipindi cha TV cha Dr. Quinn, Medicine Woman.

Filamu maarufu[hariri | hariri chanzo]

  • Live and Let Die (1973)
  • Sinbad and the Eye of the Tiger (1977)
  • Battlestar Galactica (1978)
  • Somewhere in Time (1980)
  • The Scarlet Pimpernel (1982)
  • Lassiter (1983)
  • Head Office (1985)
  • War and Remembrance (1988)
  • Wedding Crashers (2005)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jane Seymour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.