Programu ya usimbaji fiche

Kitabu kuhusu programu za usimbaji fiche.
Katika utarakilishi, programu ya usimbaji fiche (kwa Kiingereza: encryption software) ni programu inayotumika kuzuia ufikivu usioidhinishwa wa taarifa za kidijitali. Programu ya usimbaji fiche zinatumika usimbaji fiche.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).