Nenda kwa yaliyomo

Priscilla Mbarumun Achakpa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Priscilla Mbarumun Achakpa[1] ni mwanaharakati wa mazingira nchini Nigeria. Yeye ndiye mwanzilishi na Rais wa shirika la kimataifa la Women Environment Programme (WEP),shirika ambalo huwapa wanawake suluhisho endelevu kwa matatizo ya kila siku.Kabla ya hapo, alikuwa mkurugenzi mtendaji wa WEP[2][3][4]

  1. "Priscilla Mbarumun Achakpa | Ashoka | Everyone a Changemaker". www.ashoka.org (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-28.
  2. "Priscilla Achakpa". Sustainable Futures in Africa (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-25. Iliwekwa mnamo 2022-03-01. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "unga-launches-ten-year-action-plan-on-water-for-sustainable-development", International Institute for Sustainable Development, March 27, 2018. Retrieved on 8 March 2020. 
  4. "Sadhguru to speak at UN on World Water Day", The Siasat Daily, Hyderabad, March 20, 2019. Retrieved on 8 March 2020. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Priscilla Mbarumun Achakpa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.