Prisca Emeafu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Prisca Emeafu
Amezaliwa 30 machi 1972
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Prisca Emeafu (alizaliwa 30 Machi 1972) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki wa timu ya taifa ya Wanawake ya Nigeria. Alikuwa mchezaji kwenye Kombe la Dunia la FIFA la wanawake la 1995 na Kombe la Dunia la FIFA ya 1999. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA Women's World Cup USA 1999 - Nigeria". FIFA Women's World Cup United States 1999. FIFA. 1999. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-10. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Prisca Emeafu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.