Nenda kwa yaliyomo

Pongami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Pongamia pinnata)
Pongami
(Millettia pinnata)
Maua ya pongami
Maua ya pongami
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Jenasi: Millettia
Wight & Arn.
Spishi: M. pinnata
(L.) Panigrahi

Pongami, honge au mkwara wa Uhindi (Millettia pinnata, syn. Pongamia pinnata) una urefu wa takriban mita 15 –25, inapatikana kwenye familia ya Fabaceae. Ni mkubwa sehemu ya juu na maua madogo madogo mengi ya rangi nyeupe, waridi au urujuani. Asili yake ni Uhindi, lakini inaoteshwa kwa kiwango kikubwa Kusini – Mashariki mwa Asia.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pongami kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.