Poacher (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Poacher ni filamu iliyotengenezwa na wakenya pamoja na waingereza ikiongozwa na Tom whithworth.filamu hii ilipewa umakini kimataifa baada ya kutolewa na kampuni ya filamu ya Netflix mnamo septemba 2020.[1]filamu hii imekua filamu ya kwanza ya kenya kutolewa na Netflix.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fred Onyango (2020-10-07). Why Netflix is a lifeline for African film-makers (en). the Guardian. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
  2. Michael Musyoka on 3 September 2020-12:17 pm. Award-winning Kenyan Film to Make History on Netflix (EN). Kenyans.co.ke. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Poacher (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.