PlayStation 4

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
PS4
PS4

PlayStation 4 (pia inajulikana kwa jina la PS4) ni kitu cha kujifurahisha cha michezo ya kompyuta ambayo hutumika majumbani iliyotolewa na Sony Computer Entertainment na inaambatana na PlayStation 3.

Ilitangazwa rasmi katika mkutano wa waandishi wa habari tarehe 20 Februari 2013 na ilizinduliwa mnamo Novemba 15 2013.

PS4 ina michezo mingi ikiwa ni pamoja na Minecraft, Just Cause 3, Call of Duty n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu PlayStation 4 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.