Pius Buswita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Pius Buswita (amezaliwa 22 Novemba 1997) ni mchezaji wa kandanda (mpira wa miguu) akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars. Pius anacheza nafasi ya kiungo mkabaji na mchezeshaji.

Ana watoto wawili: Patrick na Prince. Mke wake anaitwa Khadija Zubery.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pius Buswita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.