Pine Creek Wilderness
Mandhari
Pine Creek Wilderness ni eneo la nyika lililotengwa na bunge mwaka 1984[1]. Linapatikana ndani ya jimbo la Kalifornia na linasimamiwa na mamlaka ya misitu ya Marekani kama sehemu ya msitu wa taifa wa Cleveland.
Nyika hii ina ukubwa wa ekari 13,261 (sawa na kilometa za mraba 53.67) na mwinuko wa futi 2000 (mita 610) kutoka kusini na futi 4000 (mita 1200) kutoka kaskazini, unapatikana ndani ya jimbo la kalifonia na imepakana na nyika ya Hauser kusini mwake[2]. Uoto unaopatikana hapo ni kama chaparral ( iliyotawalwa na chamise na scrub oak) pamoja na miti ya oak kwenye vijito vya chini[3].
Vibali vya nyika hii huitajika kwaajili ya matumizi ya mchana na pia usiku
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pine Creek Wilderness". www.californiatrailmap.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-05-15.
- ↑ "Wilderness Connect". wilderness.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-15.
- ↑ Cleveland National Forest - Special Places (usda.gov)