Nenda kwa yaliyomo

Piero Hincapié

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Piero Martín Hincapié Reyna (alizaliwa 9 Januari 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ecuador, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ecuador.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Piero Hincapié kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.