Philippe Coutinho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
coutinho akiwa Brazil mwaka 2018
phillipe countinho
Philippe Coutinho.

Philippe Coutinho Correia (alizaliwa 12 Juni 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye hucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji, huvaa jezi namba 10 mgongoni.

Mchezaji huyu anachezea timu ya taifa ya Brazil na timu ya ligi kuu ya Uingereza inayokwenda kwa jina la Liverpool F.C.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philippe Coutinho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.