Philip Davies

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Philip Davies


Philip Andrew Davies (alizaliwa mnamo 5 Januari 1972) ni mwanasiasa wa Chama cha Kihafidhina cha Uingereza na Mbunge wa jimbo la Shipley huko West Yorkshire. Kwa mara ya kwanza alichaguliwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, ndiye mbunge wa kihafidhina anayetumikia zaidi, akiwa amepiga kura zaidi ya mara 250 wakati wa kazi yake ya ubunge, na amekosolewa kwa kuzungumza nje ya Miswada ambapo hakuwa akiungwa mkono na serikali.[1][2][3][4][5] Davies anajulikana zaidi kwenye kampeni dhidi ya siasa za mrengo wa kushoto na ujamaa na ni mpiganiaji wa harakati za haki za wanaume . Alichukua jukumu la kuongoza katika kupata mjadala wa kwanza wa Siku ya Wanaume Duniani Bungeni mnamo mwaka 2015 mjadala huo ulifanyika kila mwaka.[6][7] Davies ni mjumbe baraza linaloongoza kikundi cha shinikizo cha Chama cha Uhuru, pia ni mratibu wa Muungano wa walipa Ushuru . Davies amekuwa akikosolewa mara kwa mara na wanasiasa wengine na watu mashuhuri wa umma kwa maoni ambayo huwa akiyatoa juu ya usawa wa kijinsia na wanawake, ushoga, makabila madogo na walemavu. Akinukuliwa akisema walemavu wanapaswa kuwa na chaguo la kufanya kazi chini ya mshahara wa kima cha chini. Davies alisema kuwa wazungu, mawaziri wa kiume wana hatari ya kutoka nje ya serikali ili kutoa nafasi kwa wanawake au wabunge wachache wa kabila.[8] for comments he has made on gender equality and women,[9][10] ethnic minorities[11][12][13][14] Davies has said that white, male ministers risk being "hoofed out" of the government to make way for women or minority ethnic MPs.[15]

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Davies alizaliwa Doncaster, baba yake ni Peter Davies ambaye alikuwa Meya wa zamani wa Doncaster . Awali alitaka kuwa mwandishi wa habari, lakini katika mahojiano Januari 2017 alinukuliwa akisema, "Ilikuwa matamanio yangu maishani lakini niligundua nilikuwa na aibu sana, Lazima uwe na ujasiri ambao nadhani labda sikuwahi kuwa nao " alimaliza kwa kwa kusema hivo..[16] Baada ya kuhitimu, Davies alifanya kazi katika biashara ya maduka makubwa ya Asda kuanzia Septemba 1993 mpaka Mei 2005, akiwa meneja wa huduma za wateja na baadaye kama meneja wa uuzaji. Amefanya kazi pia kwa Watengenezaji wa Vitabu vya Marilyn, pia Davies na Watengenezaji wa Vitabu vya Mark Jarvis.Rasmi katika siasa alijiunga na Chama cha Conservative mnamo mwaka 1988.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Alisoma katika shule ya Old Swinford Hospital huko Stourbridge, pia Huddersfield Polytechnic ambayo baadae ikawa Chuo Kikuu cha Huddersfield katika mwaka wake wa tatu wa masomo. Alipata shahada ya Historia na masomo ya kisiasa mnamo mwaka 1993.[17][18]

Maisha ya siasa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2005 katika uhaguzi mkuu nchini uingereza alichaguliwa kama mbunge wa kiti cha Shipley kwa kura nyingi 422 huku akimshinda Mbunge wa Kazi na Katibu wa Bunge chini ya Idara ya Maswala ya Katiba bwana Chris Leslie.Katika kipindi cha kampeni alipokea misaada iliyofanikiwa kutoka kwa Bearwood Corporate Services, kampuni iliyoundwa na Bwana Ashcroft ambaye sio mkaazi ili kutoa misaada kwa viti vya pembezoni kama vile Davies. Awali Davies bila mafanikio aligombea ubunge kiti cha Colne Valley katika uchaguzi mkuu 2001 na alishindwa kwa kura 4639.[19] a company set up by non-domicile Lord Ashcroft to give out donations to marginal seats such as Davies'.[20]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Voting Record – Philip Davies MP, Shipley (11816) – The Public Whip.
 2. name="Wright20141214"
 3. name="Stone20151101">Stone, Jon. "Tory MP Philip Davies who blocked law to scrap hospital parking charges for carers says he was 'speaking up for carers'", The Independent, 1 November 2015. 
 4. name="Perraudin20151030"
 5. name="Stone20151120">Stone, Jon. "Tory MPs block bill to give first aid training to children by talking non-stop until debate ends", The Independent, 20 November 2015. 
 6. Poole, Glen. "Philip Davies's men's rights victory turned me into a blubbering wreck", The Daily Telegraph, 4 November 2016. 
 7. "Davies: Men are getting a bad press", BBC News, 14 November 2017. 
 8. Crace, John. "Tory MP's pants are on fire over upskirting issue", The Guardian, 18 June 2018. "Philip Davies [is] a Tory MP who can usually be relied on to stand up for any form of sexist and unpleasant behaviour." 
 9. name="Perraudin191115"/> homosexuality,
 10. Wright, Oliver. "Four reasons the Tories shouldn't feel too smug – despite an incredible election result", The Independent, 8 May 2015. Retrieved on 2021-07-18. Archived from the original on 2015-09-13. 
 11. name="Owen"/> and the disabled.
 12. name=DisabilityTelegraph/> He has stated that the disabled should have the option of working for less than the minimum wage.
 13. name="clarifications1">BBC – Corrections and Clarifications – Help and Feedback. BBC (20 July 2017).
 14. name="wages">"Call to relax wage rule for learning disabled", BBC News, 2 March 2017. 
 15. Hope, Christopher. "White male ministers risk being unfairly 'hoofed out' in Theresa May's reshuffle, complains Philip Davies MP", The Daily Telegraph, 9 January 2018. 
 16. "Shock message for Government as maverick Mayor takes control", Yorkshire Post, 6 June 2009. 
 17. name="conservatives.com"/> in 1993. Originally he wanted to be a journalist, but in a January 2017 Spectator interview he said, "It was my ambition in life but I just realised I was too shy. You’ve got to have a confidence that I think I probably never had".
 18. Balls, Katy. "Philip Davies interview: I don't like being bullied", The Spectator, 6 January 2017. 
 19. name=MembersInterests>Register of Members Interests: Philip Davies. TheyWorkForYou.com.
 20. name=Briefing>"Briefing: Lord Ashcroft and Bearwood", Times Online, 4 March 2010. 
Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philip Davies kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.