Nenda kwa yaliyomo

Phatiah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatiah Kaninsoura Ojediran (alizaliwa 26 Agosti, 2008) ni mwimbaji na mwandishi wa nchini Nigeria na anajulikana kama Phatiah.[1][2]

Alizaliwa 26 Agosti 2008 katika jimbo la Lagos, Nigeria. Alijiunga na shule ya Starfield huko Lagos kwaajili ya kusoma elimu yake ya msingi na Sekondari na baadae alisoma katika shule ya Ifako International Schools kuendelea na elimu yake ya sekondari.[3][4]


  1. "Unveiled!!! Phatiah Kayinsola, Nigerians new face of music". newsexplorersng.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-10. Iliwekwa mnamo 2020-05-16.
  2. admin (2019-08-30). "Unveiled! Phatiah Kanyinsola, Nigeria's New Face of Music". NewsExplorersNg (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-08. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  3. "Phatiah set to release new album, leader of tomorrow". leadership.ng (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-04-13.
  4. "Phatiah makes plea for children with new single, leaders of tomorrow". independent.ng (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-02-15.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phatiah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.