Nenda kwa yaliyomo

Peter Pernin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Padri Peter Pernin
Ukurasa wa kichwa wa toleo la Kiingereza la John Lovell la The Finger of God Is There! (Montreal 1874)

Jean-Pierre Pernin (anajulikana pia kama Peter Pernin nchini Marekani; 22 Februari 18229 Oktoba 1909) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki wa Ufaransa ambaye alihamia Marekani mnamo 1864 kama mmisionari, akifanya kazi katika majimbo ya Illinois, Wisconsin, na Minnesota.

Kama mchungaji wa Kikatoliki wa Peshtigo, Wisconsin, aliweza kupona kwenye moto wa Peshtigo uliozuka Oktoba 8-9, 1871. Kumbukumbu zake za kupona zilizoandikwa awali kwa Kifaransa, na kuchapishwa kwa wakati mmoja kwa tafsiri ya Kiingereza zenye kichwa Le doigt de Dieu est là! / The Finger of God Is There!, ni nyaraka muhimu katika historia ya moto huo.[1]

Kaburi la Pernin, Kaburi la Calvary, Rochester, Minnesota
  1. Mercier 2021, pp. 13–60.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.