Peter Krummeck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwandishi na Mwigizaji wa Africa Kusini

Peter Alan Krummeck (4 Marchi 1947 - 9 Novemba 2013) alikuwa mwigizaji, mbunifu wa kumbi za michezo, mkurugenzi, mwandishi, mwalimu, na mwanaharakati kutokea nchini Afika Kusini ambaye alishinda sifa zaidi ya Afrika Kusini katika mchezo wake wa mtu mmoja ulioitwa ‘’Bonhoeffer’’. Akianzisha utumiaji wa mchezo wa kuigiza kama nyenzo ya upatanisho, alianzisha Huduma ya Jumuiya ya Afrika na Askofu Mkuu Desmond Tutu kama mlinzi.[1]

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Krummeck alizaliwa [[Johannesburg. Alisomea usanifu wa picha huko East London, Afrika Kusini na alipata Stashahada ya Kitaifa ya Ubunifu wa Picha kwa alama za juu Zaidi mnamo 1967. Aliteuliwa kuwa msimamizi wa studio katika gazeti la Daily Dispatch katika London Mashariki, chini ya uhariri wa Donald Woods, kabla ya kuhamia huko Cape Town mnamo 1969.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Krummeck, P.A. 2012. Adam & Luke. Cape Town: Junkets
  2. Krummeck, P.A. 2012. Adam & Luke. Cape Town: Junkets
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Krummeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.