Peter Higgs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Higgs akiwa Stockholm, Disemba mwaka 2013

Peter Ware Higgs (amezaliwa 29 Mei, 1929) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa amechunguza chembe za atomu. Mwaka wa 2013, pamoja na Francois Englert, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Higgs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.