Francois Englert

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francois Englert

Francois Baron Englert (amezaliwa 6 Novemba, 1932) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ubelgiji. Hasa amechunguza chembe za atomu. Mwaka wa 2013, pamoja na Peter Higgs, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francois Englert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.