Peter Clarke (msanii)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Clarke (2 Juni 1929 huko Simon's Town, Afrika Kusini - 13 Aprili 2014 huko Ocean View, Cape Town ) [1] [2] alikuwa msanii wa picha wa nchini Afrika Kusini. Alifanya kazi katika kwenye vyombo vya habari. Pia alikuwa mwandishi na mshairi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Daneel Knoetze (15 April 2014). Artist Clarke kept his cool in the ghetto). IOL. Iliwekwa mnamo 7 August 2015.
  2. Towards Simon's Town – The life of Peter Clarke by Joline Young | South African History Online. www.sahistory.org.za. Iliwekwa mnamo 2020-11-22.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Clarke (msanii) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.