Peace Efih
Mandhari
Peace Efih | |
Nchi | Nigeria |
---|---|
Kazi yake | Mchezaji wa mpira wa miguu |
Peace Ewomazino Efih (alizaliwa 5 Agosti 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligat Nashim FC Kiryat Gat na timu ya taifa ya Nigeria. Mwanzoni alicheza timu ya Edo Queens na Rivers Angels katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria. Wakati wa Kombe la Wanawake la WAPU B mwaka 2018 Efih alifunga bao la pekee katika mchezo wa kwanza wa timu Nigeria.[1][2][3]
Mnamo Julai 2019 Efih alijiunga na Sporting de Huelva kwa mkataba wa mwaka mmoja. [4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Peace Efih". EuroSports.
- ↑ "WAFU Women's Cup: Efih Grabs Match-winner Against Mali". Brila. 2018-02-16. Iliwekwa mnamo 2019-07-21.
- ↑ "5 things you need to know about the ongoing football tournament". Pulse. Iliwekwa mnamo 2019-07-21.
- ↑ Ahmadu, Samuel. "Nigeria midfielder Peace Efih joins Sporting de Huelva from Rivers Angels". Goal.com. Iliwekwa mnamo 2019-07-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peace Efih kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |