Paul Yoshigoro Taguchi
Mandhari
Paul Yoshigoro Taguchi (田口芳五郎, Taguchi Yoshigoro, 20 Julai 1902 – 23 Februari 1978) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Japani.
Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Osaka kuanzia 1941 hadi kifo chake mwaka 1978, na alipewa hadhi ya kardinali mwaka 1973.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Miranda, Salvador. "TAGUCHI, Paul Yashigoro (1902-1978)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. OCLC 53276621.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |