Nenda kwa yaliyomo

Paul Scholes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Scholes akiwa na klabu ya Manchester United F.C

Paul Scholes, (alizaliwa 16 Novemba 1974) alikuwa ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anafahamika sana kwa sababu ya kucheza klabu ya Manchester United F.C. ya hukohuko nchini Uingereza.

Kwa sasa yeye ndie mmiliki mwenza wa Salford City.

Wakati wa kucheza kwake alishawahi kushinda mataji 25 huku katika mataji hayo yakiwemo mataji 11 ya ligi ya nchini Uingereza (kuliko mchezaji mwingine yeyote) na mawili ya ligi ya mabingwa.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Scholes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.