Paul Richter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Paul Richter

Paul Richter (1 Aprili 1895 - 30 Desemba 1961) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Austria.

Alikuwa na umaarufu mkubwa katika filamu za Kijerumani na wakurugenzi wake Joe May na Fritz Lang.

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Richter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.