Paul Katema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul Katema (alizaliwa 19 Septemba, 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Zambia ambaye anacheza kama kiungo wa Azam F.C.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Azam F.C.[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Julai 2021, Katema alijiunga na klabu ya Azam iliyopo nchini Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Katema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.