Paul Abuor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul Abuor ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa Orange Democratic Movement. Mwaka 2017 alichaguliwa kama mbunge katika Bunge la Taifa la Kenya kwa kushinda katika eneo bunge la Rongo kwenye kaunti ya Migori.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/mps [Wabunge wa Taifa Kenya, tovuti la Bunge la Kenya, iliangaliwa Machi 4, 2022]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Abuor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.