Paka-maji
Mandhari
Paka-maji | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Paka-maji (Felis chaus nilotica)
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Paka-maji (Felis chaus nilotica) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ni nususpishi ya paka-mwitu (Felis chaus)[1] na anatokea bonde la Mto wa Naili.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Wozencraft, W. Christopher (2005). "Order Carnivora (pp. 532-628)". In Wilson, Don E., and Reeder, DeeAnn M., eds. Mammal Species of the World: A Taxonomic and Geographic Reference (3rd ed.). Baltimore: Johns Hopkins University Press, 2 vols. (2142 pp.). ISBN 978-0-8018-8221-0. OCLC 62265494
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikispecies has information related to: Felis chaus nilotica |
- Orodha Nyekundu ya IUCN ya Spishi Zinazotishiwa Ilihifadhiwa 17 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Akaunti za Chaa ya Wataalamu wa Paka: Paka-mwitu (Felis chaus) Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paka-maji kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |