PPSSPP
Mandhari

PPSSPP ni mchezo wa kompyuta uliotolewa mnamo Novemba 1, 2012 kwa leseni chini ya GNU GPLv2 au baadaye.
Mradi wa PPSSPP uliundwa na Henrik Rydgård, mmoja wa washiriki wa emulator wa Dolphin.
Kuanzia mwezi wa Machi 2017, michezo 984 umeweza kuchezeka katika PPSSPP.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "PPSSPP homepage". News section. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "PPSSPP on Github.com".
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu PPSSPP kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |