Otandeka Laki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Otandeka Kanyesigye Laki (alizaliwa 24 Januari 1996) ni mchezaji wa soka wa nchini Uganda na ambaye anacheza kama winga na mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Uganda

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Otandeka alizaliwa Bronx, New York, Marekani na kukulia Marlboro Township baba yake alikua ni balozi. Alisoma Shule ya sekondari ya Colts Neck..[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otandeka Laki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.