Nenda kwa yaliyomo

Osmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Donge dogo la Osmi

Osmi (Osmium, kutoka Kigiriki ὀσμή osme, "harufu") ni elementi yenye namba atomia 76. Ni metali ya mpito ngumu na haba sana[1][2]. Alama yake ni Os.

Huwa na utendanaji mdogo na elementi nyingine, hivyo huhesabiwwa kati ya metali adimu.

Inapatikana kwa viwango vidogo katika mbale ya Platini. Osmi ni elementi yenye densiti kubwa katika elementi zote.

Matumizi yake ni hasa katika aloi za platini au iridi kwa vifaa vidogo vinavyohitajika kuwa vigumu na kudumu muda mrefu[3].

  1. Fleischer, Michael (1953). "Recent estimates of the abundances of the elements in the Earth's crust" (PDF). U.S. Geological Survey.
  2. "Reading: Abundance of Elements in Earth's Crust | Geology". courses.lumenlearning.com. Iliwekwa mnamo 2018-05-10.
  3. Haynes, William M., ed. (2011). CRC Handbook of Chemistry and Physics (92nd ed.). CRC Press. ISBN 978-1439855119.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Osmi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.