Osarenoma Igbinovia
Mandhari
Oosrenoma Igbinovia | |
Amezaliwa | 5 June 1996 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaji wa mpira wa miguu |
Oosrenoma Igbinovia (alizaliwa 5 Juni 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria. Alicheza kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria katika michezo ya Michezo ya Olimpiki. Oosrenoma anacheza katika klabu ya Bayelsa Queens katika Ligi Kuu ya Wanawake nchini Nigeria pamoja na timu ya taifa ya Nigeria.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Timitimi, Igbinovia Upbeat Ahead Of Delta Queens Clash". Ladiesmarch.com. Iliwekwa mnamo 2017-08-08.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Osarenoma Igbinovia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |