Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya wakuu wa nchi Gabon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gabon

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
GabonNchi zingine · Atlasi
Bendera ya Rais wa Gabon

Orodha hii inataja wakuu wa Gabon kufuatana na utaratibu wa nchi hiyo (Tarehe zilizo katika mlalo zinaashiria uendelezo wa kiofisi usiopingika).

Muda wa Madaraka Aliye-Madarakani Uhusiano Maelezo
Jamhuri ya Kujitawala ya Gabon
28 Novemba 1958 hadi Julai 1959 Louis Sanmarco, Kamishna Mkuu
Julai 1959 hadi 17 Agosti 1960 Jean Risterucci, Kamishna Mkuu
Jamhuri ya Gabon   (République Gabonaise)
17 Agosti 1960 hadi 17 Februari 1964 Léon M'ba, Rais BDG Amejiuzulu
17 Februari 1964 hadi 18 Februari 1964 Kamati ya Mapinduzi:-
Daniel Mbene Mil
Valère Essone
Jacques Mombo
Daniel Mbo Edou
18 Februari 1964 hadi 19 Februari 1964 Jean-Hilaire Aubame, Waziri Mkuu wa Muda Mnyang'anyi
19 Februari 1964 hadi 28 Novemba 1967 Léon M'ba, Rais BDG Alirejea na kufariki madarakani
2 Desemba 1967 hadi 1968 Albert-Bernard Bongo, Rais BDG
1968 hadi 29 Septemba 1973 PDG Alibadili jina kuwa Omar Bongo baada ya kusilimu
29 Septemba 1973 hadi 15 Novemba 2003 Omar Bongo, Rais Awali Albert-Bernard Bongo
15 Novemba 2003 hadi 8 Juni 2009 El Hadj Omar Bongo Ondimba, Rais Awali Omar Bongo; amekuwa Mwislamu akiwa madarakani
6 Mei 2009 hadi 10 Juni 2009 Didjob Divungi Di Ndinge, Kaimu Rais PDG Amekaimu nafasi ya Bongo wakati yuko hospitalini, Makamu wa Rais
10 Juni 2009 hadi 16 Oktoba 2009 Rose Francine Rogombé, Kaimu Rais PDG Amemrithi Bongo kikatiba, akiwa Rais wa Seneti
16 Oktoba 2009 hadi 30 Agosti 2023 Ali Bongo Ondimba, Rais PDG Ameondolewa na wanajeshi
30 Agosti 2023 kwenda Urais Brice Clotaire Oligui Nguema, Kaimu Rais Mil

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]