Orodha ya wakuu wa nchi Guinea
Rais wa Jamhuri ya Guinea | |
---|---|
![]() | |
Makazi | Presidential Palace, Conakry |
Kipindi | Miaka 7 |
Muundo | 2 Oktoba 1958 |
Ifuatayo ni orodha ya wakuu wa nchi wa Guinea tangu nchi imekuwa huru kutoka kwa Ufaransa mnamo 1958.
Orodha ya Wakuu wa Nchi wa Guinea[hariri | hariri chanzo]
(Tarehe zilizowekewa mlalo zinaashiria uendelezo wa kuwa ofisini "bila kupingwa")
Muda | Picha | Aliyepo | Ushirikishwaji | Maelezo |
---|---|---|---|---|
Jamhuri ya Guinea | Uhuru kutoka Ufaransa | |||
(République du Guinée) | ||||
2 Oktoba 1958 hadi 1 Januari 1979 | ![]() |
Ahmed Sékou Touré, Rais | PDG-RDA | |
Jamhuri ya Mapinduzi ya Watu wa Guinea | ||||
(République Populaire Révolutionnaire du Guinée) | ||||
1 Januari 1979 hadi 26 Machi 1984 | ![]() |
Ahmed Sékou Touré, President | PDG-RDA | Amefia ofisini |
26 Machi 1984 hadi 3 Aprili 1984 | ![]() |
Louis Lansana Beavogui, Kaimu Rais | PDG-RDA | Ametolewa kwa kupinduliwa |
3 Aprili 1984 hadi 5 Aprili 1984 | ![]() |
Lansana Conté, Mwenyekiti wa Kamati ya Kijeshi ya Urejeshi wa Taifa | Jeshi | |
5 Aprili 1984 hadi 25 Mei 1984 | Lansana Conté, Rais | |||
Jamhuri ya Guinea | ||||
(République du Guinée) | ||||
25 Mei 1984 hadi 22 Desemba 2008 | ![]() |
Lansana Conté, Rais | Jeshi/PUP | Amefia ofisini |
22 Desemba 2008 hadi 23 Desemba 2008 | Aboubacar Somparé, Kaimu Rais | PUP | Ametolewa kwa kupinduliwa | |
23 Desemba 2008 hadi 3 Desemba 2009 | Moussa Dadis Camara, Rais | Mil | Kashindwa kuongoza baada ya jaribio la kutaka kuuawa | |
3 Desemba 2009 hadi 21 Desemba 2010 | Sékouba Konaté, Kaimu Rais | Mil | ||
21 Desemba 2010 hadi Sasa | ![]() |
Alpha Condé, Rais | RPG |
Kwa Viongzo wa Kikoloni kabla ya uhuru, tazama: Viongo wa Kikoloni wa Guinea
Ushirikishwaji[hariri | hariri chanzo]
PDG-RDA | Parti Démocratique de Guinée-Rassemblement Démocratique Africain |
(Democratic Party of Guinea – African Democratic Rally) soshalisti, chama halali kuanzia 1960-1984 tu | |
PUP | Parti de l'Unité et du Progrès |
(Unity and Progress Party) -enye kulazimisha utii | |
UPG | Union pour le Progrès de la Guinée |
(Union for the Progress of Guinea) | |
RPG | Rassemblement du Peuple Guinéen |
(Rally of the Guinean People) | |
Mil | Military |
n-p | non-partisan |
edit this box |
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Serikali
- (Kifaransa) Official site of the Guinean government Archived 6 Januari 2010 at the Wayback Machine.
- Guinea's state structure Archived 5 Mei 2007 at the Wayback Machine.